Displaying 1 - 7 of 7
Kusudi la dokezo hili la kitalaamu ni kusaidia watendaji wa ulinzi wa watoto na maafisa wa serikali katika mwitikio wao wa kukabiliana mara moja na changamoto za ulinzi wa watoto zinazowakabili watoto ambao wako katika hatari ya kutenganishwa na familia zao au kuwekwa mahali kwaajili ya uangalizi mbadala katika kipindi hiki cha janga la COVID-19. Imeandaliwa na wafanyakazi wa kikosi cha wataalam maalum walio bobea katika ulinzi na utunzaji wa watoto na linagengwna dokezo la kitaalam: Ulinzi wa watoto wakati wa Janga la Virusi vya Corona …